Pata Ujuzi, Badilisha Maisha
Jiunge na INCOMET VTC upate ujuzi wa vitendo unaohitajika kwa ajili ya mafanikio ya kazi yako katika soko la ajira la leo.
Tazama Kozi ZetuKozi Zetu za Ufundi Stadi
Tunatoa mafunzo ya vitendo katika fani zenye uhitaji mkubwa sokoni ili kukuandaa kwa ajira ya haraka au kuanzisha biashara yako mwenyewe.
Ufundi Umeme
Jifunze kufunga, kutengeneza na kukarabati mifumo ya umeme ya majumbani na maofisini.
Fahamu Zaidi →
Useremala
Pata ujuzi wa kutengeneza samani za ndani (furniture), milango, madirisha, na bidhaa nyingine za mbao.
Fahamu Zaidi →
Ushonaji na Ubunifu wa Mavazi
Jifunze sanaa ya ubunifu wa mitindo, ukatji wa vitambaa, na ushonaji wa nguo za aina zote.
Fahamu Zaidi →